Aggy Baby " Nahongwa Kuanzi Milioni 15 na Kuendelea Kwa Siku, Mahari yangu Milioni 500'

 


"Nyumba ninayoishi nalipa kodi milioni 3 kwa mwezi, mahali yangu bado ni milioni 500. Nahongwa kuanzi milioni 15 na kuendelea kwa siku, sijui kupika ugali, matumizi yangu kwa siku ni milioni tatu mpaka sita" - Agnes akihojiwa Wasafi FM.


Kuna pisi zinapata Fursa ya kuhojiwa na Media Kubwa kisha zinaongea upumbavu mtupu, wakati ndio sehemu ya Kuongea Point za maana ili wapate michongo zaidi, Sometimes Watangazaji wanazingua sana, mimi Demu akianza kuongea huu ujinga namzimia Microphone na nampiga Makofi kisha namfukuza Studio wala simuiti tena.


Maana Kauli za Huyu Dada zina-promote Umalaya na udangaji, anaposema anahongwa million 15, watoto wa kike wanaomfatilia huyu dada si watapotea, maana wataamini Udangaji ni Deal.


Kila Demu anayechipukia kwenye Sanaa akihojiwa lazima aongee uongo, ndio mnashauriwa na Watu wenu wa karibu? Igeni mfano Jide, Nandy, Zuchu, mbona wametoboa na hawakuwahi kuongea ujinga ujinga kama huu? Fanyeni kazi, acheni ujinga.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad