Kwa mujibu wa @officialbabalevo ameweka wazi kwamba Mwijaku amefukuzwa kazi ya usemaji aka Uchawa aliyokuwa anaifanya hapo awali ambapo kwa sasa anamshauri amng'ang'anie Diamond ili aishi vizuri mjini
Kina Mwijaku wamefukuzwa hawatakiwi tena ilikuwa kauli ya #Babalevo
Hata hivyo Katika Wimbo Mpya wa Harmonize ametaja wakina Mwijaku na Kusema hawahitaji, huenda hiyo Ndio Sababu Baba Levo Anaamini Kuwa Wamefukuzwa Kweli