Baraka The Prince Akiri Kumchukia Alikiba




"Ni kweli namchukia AliKiba kwasababu ya mambo yetu personal, ukisema unampenda kila mtu ni unafiki, kila mtu ana adui yake na kumchukia mtu sio dhambi na haikatazwi" - amesema Baraka

Japo haijulikani sana hayo mambo yao binafsi lakini wawili hao waliwahi kuwa katika lebo moja, walishafanya wimbo wa pamoja kisha Baraka kujitoa katika lebo husika kwa kudai alikuwa haielewielewi mambo yalivyokuwa yakienda japo Kiba yeye hakuwa akitoa ufafanuzi wa kina hata alipokuwa akiulizwa na media

Na baada ya hapo mkwaruzano wao ukawa bayana na sasa uhasimu wao unatajwa kuwa kama paka na panya

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad