Biden Aawasamehe Wavuta Bangi Kutoka Gerezani

 


Rais wa Marekani Joe Biden amesema kukutwa na hatia ya kuvuta bangi na kupatikana na kileo hiko imeharibu maisha ya Wamarekani wengi na kuwakosesha fursa muhimu, na kupitisha amri ya kuwasamehe wote waliohukumiwa na kuwekwa kwenye rekodi ya uhalifu kutokana na makosa hayo.


Msamaha huo unaweza kuwasaidia zaidi ya Wamarekani 6,500, maafisa wa White House waliwaambia waandishi wa habari.


Lakini waliongeza kuwa hukumu nyingi za bangi hutokea katika ngazi ya serikali za majimbo na kupelekea angalizo la pili la Biden, ambalo linatoa wito kwa magavana kutoa msamaha kwa makosa ya kumiliki bangi katika majimbo yao.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad