BREAKING: KOCHA STEVEN GERALD AFUKUZWA KAZI ASTON VILLA ALIYOCHEZEA SAMATTA




Club ya Aston Villa ya England imetangaza rasmi kuwa Kocha wake Mkuu Steven Gerrard ameacha kazi mara moja baada ya kipigo cha magoli 3-0 dhidi ya Fulham leo.

Taarifa za Gerrard kuacha kazi zimekuja saa moja baadae baada ya kumalizika kwa mchezo dhidi ya Fulham, Gerrard anaondoka Aston Villa baada ya kudumu kwa miezi 11 na siku 10 (11/11/2021-21/10/2022).

Gerrard anaondoka Aston Villa ikiwa nafasi ya 17 katika msimamo wa Ligi Kuu England wenye timu 20 akiwa na alama 9 pekee alizovuna katika michezo 11, ameshinda mechi 2, sare 3 na kupoteza game 6.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad