Waziri Mkuu wa Uingereza, LizTruss, ametangaza kujiuzulu nafasi yake Siku 45 baada ya kuchukua Madaraka kutoka kwa Boris Johnson
Inaelezwa hatua hiyo ni baada ya baadhi ya Mawaziri na Wabunge wa Chama chake cha Conservative kumtaka ajiuzulu kutokana na Kutoridhishwa na Utendaji wake.