DAVIDO KASHIKWA BAPAYA NA CHIOMA "NIKO TAYARI KWENDA JELA KWA AJILI YA CHIOMA"

 


Ukisikia mtu kashikwa pabaya, basi ni Msanii Davido kwa mpenzi wake Chioma ambapo moja ya video clip inayo trend mitandaoni ni interview aliyofanya msanii huyo na mtangazaji Miabelle wa kituo cha Hot 97 FM, New York. Davido aliulizwa kama anaweza kwenda jela atakapo takiwa kufanya hivyo kwaajili ya mpenzi wake, ndipo msanii huyo akadai, anaweza fanya hivyo kwaajili ya baby mama wake na mchumba wake, Chioma.


Mbali na hilo, Davido ameweka wazi pesa kubwa zaidi kutumia kwa mara ya kwanza akiwa na Chioma ni Dollar za kimarekani elfu 46,000 zaidi ya milioni 107.2 za kitanzania, walipoenda kufanya shopping Dubai.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad