Diamond Platnumz Aweka Rekodi Mpya Afrika na Wimbo Alioshirikiana na Muhindi....Rema na Selina Gomez Wakasome


Wimbo mpya Jugni wa Diamond Platnumz na Diljitdosanjh Kutoka India imeivunja rekodi ya Calm Down ya Rema x Selina Gomez ya views nyingi Youtube ndani ya Saa 24.

Jugni imepata views Milioni 4 ndani ya saa 14 tu wakati Calm Down ilipata views Milioni 3.33 ndani ya saa 24

Awali ya hapo ni Fem ya Davido ndo ilikuwa inashikilia rekodi ya saa 24 ambayo ilipata views milioni 3 ndani ya muda huo


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad