Eric Omondi Atoa MPYA Tena "Wasanii Kutoka Nje Msije Kenya Mwaka Mzima"


Mchekeshaji kutoka Kenya, Eric Omondi ameendelea kukazia nati za kupinga wasanii wa kigeni kufanya shows nchini Kenya, akiwataka wasanii hao kutotembelea nchini humo kwa mwaka mmoja ili hata wao wasanii Wakenya wajitibu udhoofu walionao kwenye muziki.

Ameandika:

Brothers and Sisters. We love you, We appreciate you and we love Visitors but please give us some little time to put our house in order. WE ARE NOT OKAY. GOD BLESS YOU🙏🙏🙏 Please dont visit for Now. Just give us one Year to recover and catch up then you can Visit again.


Hii inakuja baada ya hivi karibuni Apple Music kutoa list ya nyimbo 100 zilizosikilizwa zaidi nchini Kenya, huku ni nyimbo mbili pekee za Kenya zikiwepo kwenye list hiyo, 89 kutoka Nigeria na 9 kutoka America.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad