Faiza Ally "Gigy Money Yupo Sahihi, Kiduka Kidogo Hela za Kujirusha nje ya Nchi 5 Stars Hotels Wanatoa Wapi"



Faiza Ally Anasema Kwamba Huenda Gigy Money Akawa Sahihi Kabisa Kuwa Hawa Wafanyabiashara Wadogo Wakike Starehe Wanazofanya Na Mitaji Ya Maduka Yao Ni Vitu Viwili Tofauti.

Kuna time unajiuliza huyu mtu anafanya biashara ya aina gani ,mbona kiduka kidogo lakini kila siku yupo Holiday, na busy kuwaambia wenzake work hard, work hard it will pay, Mtu anafanya kazi usiku na mchana lakini huwezi fanya kama wao"


"Kiduka Kidogo Hela Wanatoa Wapi?"


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad