Gigy Money Amkataa Diva Kuhusu Msamaha..."Sina Tabia ya Kuomba Msamaha"


Baada ya Mtangazaji @divatheebawse kupost picha ya Msanii @gigy_money_og na kusema kuwa amemsamehe, Sasa #gigy Ameshuka kwenye Comment na na kudai kuwa hajamumba Msamaha huku akisema kuwa sio Tabia yake kuomba msamaha.
Kupitia ukurasa wa #Diva wa Instagram Aliandika...

"lets make it clear ... Sababu sijapost , Napost ... Allow me to introduce to you toto Ya Diva 💖 Nimekusamehe mdogo wangu GIGY love You .. keep hustlinggg 🦋"-@divatheebawse

Na #Gigy akacomment.....

Da Diva msamaha tena , nani kaomba msamaha sasa na kwakosa gani? jamani afu siungenipigia simu tu , uku insta watu wanaona izi ni Drama tu uku.., kama unanipenda call me mimi sina tatizo na wewe kabisa you know me better than social ❤️ au caption yako ni kinyume mama .... mimi sijawahi kukukosea sitopenda watu waamini mm ni mkosefu na kwa kawaida mm sio mtu wakuomba msamaha ovyo apa kweli tunayamaliza ila unamashabiki zako wanakupenda na wanakuaminia na mm pia ivyo ivyo so sitopenda mashabiki zangu wanione mdhaifu Mama angu mm ningekukosea ningeshakutafuta kifua sina 😢 then all and all Love you too atuna matatizo mm na ww 🙌 naeshimu sana ichi ila tuache huu ujinga call me dear au nakuchek Dm unipe namba zako kipenzi😍"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad