H. Baba: Konde Gang Hakuna Msanii Mwenye Ubalozi Hata Mmoja, Hawalipwi


Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva H Baba ameonyesha kutofurahishwa na namna Harmonize anavyoendesha lebo yake ya Konde Gang.


H Baba amemuomba @officialalikiba kuwarudisha @officialcheed na @officialkilly_tz ambao walikuwa wasanii wake na kudai kule hawalipwi.

H Baba amesimulia namna Ibrah anavyopitia wakati mgumu huku akienda mbali zaidi akisema kiki ya  Ibrah  na @miriamodemba Harmonize  alimkataza.

Tazama VIDEO:


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad