Haji Manara Aamka Usingizini na Kusema Haya Baada ya Yanga Kutoka Sare na AL Hilal ya Sudan



Ameandika Haji Manara:Reposted from @hajismanara Mara baada ya Mechi jana nilipatwa na usingizi wa ajabu nikaja kustuka saa sita usiku,,Nikaanza kupitia mitandaoni na kusoma maoni ya Wakulungwa na Waitwao Wachambuzi. Nikarudia tena kucheki game na nikajiridhisha 100% hatukuwa na bahati kupata ushindi mkubwa jana. Asilimia kubwa ya Wakulungwa na Waitwao Wachambuzi wapo sahihi ktk maoni yao na yatupaswa kuyachukulia very positive, hatukushinda,,sasa unategemea waseme nn ? Lakini baadhi yao wanakosea kudhani mechi ishaisha na hii tunapaswa kuikataa Kwa kila hali. Kwa jinsi game ilivyokuwa Jana,,nitakuwa Mtu wa mwisho kuamini Yanga ishatolewa kwenye mashindano,,imagine nafasi tulizopoteza jana zingekuwa magoli,,ingekuwa ngapi ngapi? Kwa namna tulivyotengeneza nafasi,,naiona chances za cc kufuzu, Al Muhimu Wachezaji wetu wasifanye makosa hususan ya kujirudia, waende kama underdogs na kucheza kwa nidhamu kubwa.huku wakiwapress kikubwa,,,Bila kusahau heshma wanayostahili kama Team bora na kubwa Yes:: Tutafuzu Group Stage Insha'Allah.🙏🏻

Mara baada ya Mechi jana nilipatwa na usingizi wa ajabu nikaja kustuka saa sita usiku,,Nikaanza kupitia mitandaoni na kusoma maoni ya Wakulungwa na Waitwao Wachambuzi.

Nikarudia tena kucheki game na nikajiridhisha 100% hatukuwa na bahati kupata ushindi mkubwa jana.

Asilimia kubwa ya Wakulungwa na Waitwao Wachambuzi wapo sahihi ktk maoni yao na yatupaswa kuyachukulia very positive, hatukushinda,,sasa unategemea waseme nn ?

Lakini baadhi yao wanakosea kudhani mechi ishaisha na hii tunapaswa kuikataa Kwa kila hali.

Kwa jinsi game ilivyokuwa Jana,,nitakuwa Mtu wa mwisho kuamini Yanga ishatolewa kwenye mashindano,,imagine nafasi tulizopoteza jana zingekuwa magoli,,ingekuwa ngapi ngapi?

Kwa namna tulivyotengeneza nafasi,,naiona chances za cc kufuzu, Al Muhimu Wachezaji wetu wasifanye makosa hususan ya kujirudia, waende kama underdogs na kucheza kwa nidhamu kubwa.huku wakiwapress kikubwa,,,Bila kusahau heshma wanayostahili kama Team bora na kubwa

Yes:: Tutafuzu Group Stage Insha'Allah.🙏🏻
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad