Haji Manara Kidume Kweli, Awakusanya Wake zake Wote na Kuwatoa Out...Andika Haya


Ujumbe wa Haji Manara @hajismanara kwenye Picha ya Pamoja na Wake zake wote wawili, "Siku kubwa sana kwangu na kwa Wake Zangu Wapendwa, Baada ya Kula Chakula Cha Pamoja Usiku huu Hyatt Kenpinsk, Was Superb Dinner na Sasa Tunakwenda kujenga familia. King Bugati na @rubynah_bnt_salum na @rushaynah_ tunawatakia Usiku mwema, Mipicha Picha na Video nyingine kesho Insha'Allah".

Hii post imezima uvumi kuwa hapakuwa na maelewano mazuri kati ya wake zake wawili hivi karibuni.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad