Man United imetangaza kuwa mshambuliaji Cristiano Ronaldo hatakuwa sehemu ya kikosi cha klabu hiyo kitakachoikabili Chelsea weekend hii.
Kumetokea hali ya kutofautiana kati ya Mreno huyo na Meneja Eric Ten Hag hivyo hataruhusiwa kufanya mazoezi na kikosi cha kwanza wiki hii.