Kwa tafsiri nyepesi ni kuwa msanii @harmonize_tz ukiachana na namba za kwenye digital platforms, amegusa hisia za wengi kupitia albamu yake ya #madeforus , kwenye trending ya mtandao wa Twitter Harmonize ndiye anayetrend zaidi hivi sasa, ukiachana na tweets za kushindanisha kati ya EP ya #Mbosso na Made For Us, wengi wanasifu utunzi na melodies za Harmonize kwenye Albamu yake.
Ikumbukwe tu, Made For Us ni Albamu ambayo haijapewa attention kubwa sana na msanii pamoja na uongozi wake, bila kuipromote lakini imepokelewa vizuri zaidi na wengi.
#sajomedia