Carry Mastori amewaomba wasanii Alikiba pamoja na Harmonize kuwa makini sana na Mwijaku akidai kuwa anaweza kutumiwa vibaya na akaja kuharibu carrier zao.
Carry akimsifu Ali kiba akisema kuwa @officialalikiba huwa hataki shobo na Mwijaku na ndio mana hajawahi kumkaribisha kwake ila Harmonize alikosea sana kumkaribisha Mwijaku mpaka ndani kwake.
Carry ametoa maoni yake kuhusu kauli ya Mwijaku kuwa Harmonize ana mahusiano na mama na mtoto na kusema kuwa hilo haliwezi kutokea kamwe kwani @kajalafrida anajielewa na ni mtu mzima hawezi ku-share na binti yake.