Harmonize Katika Sakala la Kula Hela za Show Bila Kufanya Show, Ashitakiwa Polisi



Promota wa show kutoka Nchini Nigeria @deejaychii analalamika kuwa msanii @harmonize_tz ameshindwa kufanya show nchini Canada baada kulipwa kiasi cha $10,000 (zaidi ya Milioni 23)

@deejaychii anasema kuwa tayari walishafanya makubaliano #Harmonize na akalipwa lakini aliingia mitini na akawa hapokei simu mpaka muda huu.

#Harmonize alitakiwa kutumbuiza kwenye miji mitatu nchini Canada kuanzia 07 - 10 Oktoba.

Kwa mujibu wa promota huyu anasema kwamba tayari jambo hili amelifikisha mikononi mwa polisi hapa Tanzania na linafanyiwa kazi.
___________________________

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad