FIFFAH NDIYE MWENYE SIFA ZA KUWA MRITHI WA WASAFI

 


Ukiskiliza vizuri wimbo - NAWAZA, utagundua kuna kitu diamond hua anakifikiriaga sana. Kwenye track hiyo kuna kipande ni kama anajiuliza, hivi siku akifa na wasafi itakufa au laah!!..


Swala la wasafi kufa labda na Tiffah afe pia!!..Kwanza niseme huyu ndie mtoto anaebebwa zaidi na baba yake, ndie anaeongoza kuonekana akiwa pamoja na babayake kwenye familia na kwenye miradi mikubwa ya baba yake.


Tiffah ndie copy kamili ya baba yake, kwanzia tabia, akili, uchangamfu, pia ni mtoto mwenye umaarufu na status kubwa, ndie anaependwa zaidi na mandugu upande wa baba na mama, hana ulimbukeni na ustaa kwasababu amezaliwa nao.


Ishu ya Tiffah kuonekana akizungushwa na mzazi wake kwenye miradi yake ya kimaendeleo ni dalili moja ya kumtengeneza mrithi!.WAZAZI NDIO WANAELEWA HILI.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad