Jack Wolper Adaiwa Kuokoka Kisirisiri


Wakati ndoa yake ikikaribia kufungwa, Wolper adaiwa kuokoka kisirisiri

“Kiukweli nafsi yangu inanituma kumtumikia Mungu wangu; yaani nitoe ushuhuda na nimuimbie kwa sauti ya juu hadi wanyama wasikie; yaani nina hiyo roho na sijui imetoka wapi. Mungu tenda miujiza yako nikakutumikie wewe kuokoa vijana waliopotea" - amesema Wolper.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad