Kufanya Sherehe za Harusi Kwa Gharama Haipo Katika Biblia


Mtumishi huyo wa Mungu kwa jina la Abel ameibuka kusema kwamba kufanya sherehe ya harusi na kuingia gharama za kulisha watu sio kitu muhimu kabisa wala haipo katika biblia pale mtu unapotaka kuoa au kuolewa

Mchungaji huyo wa Nigeria, amesisitiza kwamba ndoa halisi ni pale wazazi wa pande zote mbili wanapotoa baraka zao, mahitaji kutimizwa na kukabidhiana watoto wao waanze maisha pamoja na hata katika biblia amesema ipo hivyo, na Kama wewe ni mkiristo basi utaita kiongozi wa kidini kutoa baraka hivyo sherehe za kulisha watu na kuvaa nguo za gharama hazina umuhimu wowote na sio lazima unapotaka kuoa

Aidha, amesema sherehe za harusi ni masuala yaliyo kitamaduni zaidi, amesisitiza hata white wedding sio utamaduni wa mwafrika bali ni utamaduni wa wazungu

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad