Kuhusu Msuva Kulipwa Bilioni , Mahakama ya Michezo Watoa Tamko Kwa Klabu ya Wydad


Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imeitaka klabu ya Wydad hadi kufikia Oktoba 17, 2022 iwe imeshalipa $721,000 (zaidi ya Sh 1.6 bilioni) inayodaiwa na Mshambuliaji wa Tanzania Simon Msuva. Wydad inapaswa kulipa pesa hizo la sivyo itakabiliwa na adhabu kali zaidi.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad