Kupata Passport Siku Moja


Siku ya leo Msemaji wa Idara ya Uhamiaji Paul Mselle, alipokuwa akifanya Mahojiano na East Africa radio amesema kuwa -"Mtu akikamilisha taratibu zote vizuri za uombaji wa passport kuipata kwake inaweza kuchukua siku moja mpaka siku 7 za kazi, kuna wengine wanakuja wana dharura hata ndani ya siku moja anaweza kupata"- Alisema Paul Mselle. Msemaji Idara ya Uhaiaji

BY - @iamperfecti
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad