Mahakama Yampa Siku 14 Paul Makonda Kesi ya Kuchukua Range Rover ya Mtu Kwa Nguvu


Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetoa siku 14 kwa upande wa mdaiwa Paul Makonda, ambaye amewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kuwasilisha utetezi wake katika shauri la tuhuma za uporaji wa gari mali ya mlalamikaji Patrick Christopher Kamwelwe anadai kuporwa gari hilo aina ya Range Rover.

Leo Alhamisi Oktoba 13, 2022, Hakimu wa mahakama hiyo Richard Kabate ametoa siku 14 kwa upande wa mdaiwa kuwasilisha utetezi wake. Hata hivyo, Makonda hakuwepo mahakamani hapo na aliwakilishwa na wakili wake, Chima Andrew

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad