“Mashabiki wa Simba wanataka kuona tunashinda mechi dhidi ya Yanga, nalifahamu hilo na naanda mkakati mzuri wa kuhakikisha tunashinda. Hatutacheza kwa mazoea mchezo huo, na tunaendelea kuandaa timu ambayo itaingia uwanjani kishujaa na kushinda mechi,”
- Juma Mgunda.