Mchekeshaji na mchungaji @masanjamkandamizaj akiwa kanisani Jumanne hii amefunguka juu ya tuhuma mke wake kuchepuka na katibu wake ambaye amejiua kwa kujinyonga kwa mujibu wa taarifa za Jeshi la Polisi.
Masanja "Hata Nikimkuta Mtu Anapiga Game na Mke Wangu Simwachi"
0
October 06, 2022
Tags