Maskini...Mkali Wenu Afunguka Sakata la Kumtelekeza Mama yake Mzazi "Mama Yangu Alilazimishwa na Kurubuniwa"


"Mama yangu alilazimishwa na kurubuniwa ili afanye ile interview … Hakuwa anajua kufanya vile kutaleta shida hata ndani ya familia …. Wamekosea sana walioenda kumfanyia “

"Nililia sana nilipoona ile Interview … Na hayo yote yamekuja mara baada ya Mimi kupewa gari …. Wametumia mwanya huo kumjaza Mama uwongo … Mimi ni masikini bado natafuta“

"Watu wengi wakiniona wanahisi Mimi ni tajiri sana … Lakini ukweli ni kwamba sina pesa … Matatizo ya Mama yangu ni makubwa kuliko kipato changu “

"Wakati mwingine wabaya wanaotutengenezea visa na mikasa tunaishi nao ndani ya familia zetu ila mimi namuachia Mungu hayo yote” - Mkaliwenu kupitia Wasafifm.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad