Maulidi wa Kitenge "Yanga Sasa Waje na Kauli ya Kufa na Kupona Sudan"


Yanga sasa waje na kauli mbiu ya Sudan ni kufa au kupona! Maana ni dakika 90 za jasho na damu zitakuwa kule. Kwa wakongwe katika soka kama siye tunaweka akiba ya maneno huku tukiuheshimu mchezo wa soka.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad