Mbosso Ampiga Changa ya Mwili Harmonize, Abadali Tarehe ya Kutoa EP, Diamond Platnumz Adhibitisha

 


Kupiti ukurasa wa Instagram wa CEO wa lebo ya WCB Diamond Platnumz ameandika kuwa “YES Mbosso EP Launch ! This Thursday Oct 27th Bahari Beach…..! Ushauri wangu: wewe jitahidi tu ufanye ufanyavyo upate mualiko maana dah utapitwa na mengi sana.


Ikumbukwe kuwa mwanzo baadhi ya post za Mbosso ziliweka wazi kuwa EP yake itatoka Octoba 28 ambayo ni Ijumaa ya wiki hii na sasa itakuwa tarehe 27 Alhamisi ya wiki hii.


Haijawekwa wazi sababu za kurudisha nyuma tarehe ya kuachia EP hiyo ya Mbosso.


Ngoma gani unaisubiria kwa hamu sana??

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad