Mke wa Ally Kiba Awashitusha Wengi, Aandika "Niko Free Kwa Sasa"



Baada ya tetesi za migogoro kati ya nyota wa muziki wa bongofleva #AllyKiba na mkewe #Amina, sintofahamu imezuka kwenye mitandao ya kijamii baada ya mrembo huyo wa #AllyKiba kupost kwenye #InstaStory yake picha ikionesha Ndege aliyeachiliwa huru kwa kufunguliwa kwenye banda lake.

Mrembo huyo hakuishia hapo alienda mbali kwa kukazia kwa ujumbe unaosomeka kuwa “rasmi nipo huru”.

Ameandika

"OFFICIALLY FREE..!!!!!"

Jambo hilo limepelekea shabiki wengi kuhusianisha posti hiyo na kuvunjika kwa ndoa ya King iliyokuwa ikipita katika migogoro ya kila kukicha.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad