Kupitia ukurasa wake wa Instagram Amemtaka Rapa huyo ambae yupo Marekani Kurudi nchini Tanzania kwa Mashabiki zake wamemmiss.
_____________________________
Ikiwa leo Ndoa yao imetimiza miaka 7 #Nancy ameandika....
"Miaka 13 iliyopita nilikutana na uyu mwamba apaa akawaa Rafiki yng sana...Miaka 7 iliyopiaa tukaenda mbele ya kanisa na mbele ya mashaidi kuweka ahadi ya Kupendana adi milele aanze yeye au nianze mie Hatutoachana...🙏🙏
Natamani ningekuwa mzuri wa kuandikaa siku moja ningewaelezea history yetu kidogo naamini kuna ambao wangejifunza kitu kupitiaa sisii.😌😌🙂
@roma_zimbabwe happy 7th Anniversary shoga angu umejitahidi sana hongera ila sasa imetosha naambiwa nikuambie urudii mashabiki wamekumiss😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@staminashorwebwenzi nakusalimia shemeji👋👋"