Mrembo Poshy Qeen Mwenye Umbo la Kuvunja Chaga Anatumia Milioni 3 Kwa Siku




Poshy Queen amefanya Interview na EATV, katika mahojiano hayo ameulizwa kwamba kwa siku anatumia Tsh ngapi katika mishe zake za kawaida tu?

Poshy amejibu kwamba hajui data kamili maana kuna siku anaweza tumia million 1, siku nyingine 2, Au 3 na kama hana mishe yupo home tu anaweza asitumie pesa yoyote.

Mbali na hayo, Poshy amesisitiza kwamba Shape yake ni mchanganyo wa Kinyakyusa na Rwanda wala sio ya mchongo.

Lakini kuna watu kibao wamesoma nae O-level wanadai kwamba hakuna cha mchanganyo wala nini, goma ni la uturuki maana zamani hakuwa hivyo.

Vipi wewe hapo kwa siku unatumia tsh ngapi?

Je unaamini kwamba shape ya Poshy sio ya mchongo?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad