Mrembo wa Tik Tok Aliyedai Wazanzibar Wanajua Kijisitiri Lakini Tabia zao Mbaya Matatani


Jeshi la polisi mkoa wa Mjini Magharibi huko Zanzibar linamshikilia Elizabeth Ngiba (32), kwa kosa la kujirekodi video kupitia mtandao wa Tiktok na kudaiwa kutoa lugha ya maudhi dhidi ya Wazanzibar akiwaambia kwamba licha ya kujua kujistiri lakini tabia zao ambazo hakuzitaja hazitofautiani na wengine na kuwataka wabadilike

Kaimu kamanda wa polisi mkoni humo, ACP Elisante Mmari amesema kuwa mwanamke huyo alijirekodi video hiyo Oktoba 15, 2022, majira ya saa 8:38 mchana, na kusema kuwa Upelelezi wa shauri hilo umekamilika na mtuhumiwa atafikishwa mahakamani kesho Oktoba 18, 2022

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad