Msanii Official Gachi Akana Kutoka Kimapenzi na Kusah wa Aunty Ezekiel

 




Msanii Official Gachi amekana taarifa za madai ya kuhusishwa kuwa na mahusiano na staa wa filamu Auty Ezekiel Kusah kwa kusema hakuna kinachoendelea kati yao zaidi ya kazi.

Akipiga story na 5Selekt ya East Africa TV, Gachi amesema "Kusah ni msanii mwenzangu, hakuna kinachoendelea zaidi ya kazi za sanaa. hizo ni tetesi ambazo zilikuwepo yeye ana mahusiano yake".


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad