Akiwa nje ya mitandao ya kijamii kwa Mwaka mmoja na miezi 10, hatimaye Donald Trump amerejea tena #twitter kwa mara ya kwanza muda mfupi tu tangu mtandao huo ununuliwe na tajiri namba moja duniani, #elonmusk
Trump alifungiwa Twitter pamoja na mitandao mingine kama Instagram, Facebook n.k January mwaka 2021 kutokana na kauli zake za kichochezi alizokuwa akiziweka mitandaoni kuhusiana na uchaguzi uliopita wa Marekani, ambazo kwa namna moja ama nyingine zingeleta mitafuruko.