Mwigizaji Angelina Jolie Amshtaki Mumewe wa Zamani Brad Pit Kwa Unyanyasaji



Mwigizaji AngelinaJolie amefungua shauri Mahakamani akimshutumu Mumewe wa zamani, Mwigizaji BradPitt kwa kumshambulia yeye na Watoto wao kwa Ulevi wakati wa safari ya Ndege ya kibinafsi, na kumfanya aombe Talaka


Jolie anasema Pitt alimsukuma Kichwa na kuwashambulia Watoto wao wawili huku akitukana na kuwamwagia Pombe wakati wa safari ya kutoka Ufaransa kuelekea Los Angeles Mwaka 2016, madai yaliyopingwa vikali na Bwana Pitt


Wawili hao walidumu kwenye Uhusiano kwa Miaka 10 kabla ya Kuchumbiana Mwaka 2012 na kuoana Mwaka 2014 na hatimaye kutalikiana Septemba 2016.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad