Mwijaku asimulia kisa cha ugomvi wake na Harmomize hivi unajua kuwa @mwijaku na Harmomize hawapikiki chungu kimoja??
Basi chukua hii, mpaka sasa Harmomize amem-block Mwijaku kisa Paula hayo ni maneno ya DC.
Akiongea na Bongo5 Mwijaku amefunguka mkasa mzima na kuelezea mwanzo mwisho.
Harmonize nimemshauri vitu vya msingi laki ameniona mimi mpumbavu, anatembea na mama na mtoto eti namshauri asirudie makosa eti anani-block
Amemfungulia Paula duka la milioni 20 unahisi hizo zimetoka bure tu??
Yote haya nafanya kwa sababu nampenda Harmomize na sitaki apotee njia, ntahakikisha anaacha mambo yasiyofaa.
Angekuwa anampenda Paula aaingekuwa anampost uchi
Siku akimpost Kajala na vile viunguo namshtaki, akimpost @therealpaulahkajala ntamshtaki.