Mwijaku "Harmonize Anatembea na Mama na Mtoto Hilo Jambo Siwezi Kulivumilia"



Mwijaku asimulia kisa cha ugomvi wake na Harmomize hivi unajua kuwa @mwijaku na Harmomize hawapikiki chungu kimoja??


Basi chukua hii, mpaka sasa Harmomize amem-block Mwijaku kisa Paula hayo ni maneno ya DC.


Akiongea na Bongo5 Mwijaku amefunguka mkasa mzima na kuelezea mwanzo mwisho.


Harmonize nimemshauri vitu vya msingi laki ameniona mimi mpumbavu, anatembea na mama na mtoto eti namshauri asirudie makosa eti anani-block


Amemfungulia Paula duka la milioni 20 unahisi hizo zimetoka bure tu??


Yote haya nafanya kwa sababu nampenda Harmomize na sitaki apotee njia, ntahakikisha anaacha mambo yasiyofaa.


Angekuwa anampenda Paula aaingekuwa anampost uchi


Siku akimpost Kajala  na vile viunguo namshtaki, akimpost @therealpaulahkajala ntamshtaki.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad