Nay wa Mitego "Sijakurupuka Kuwa Rais wa Kitaa"


Msanii Nay Wa Mitego amepigia misumari kuhusu 'Title' yake ya kujiita jina la rais wa kitaa kwa kusema hata wananchi wanatambua kuwe yeye ndio msemaji wao na awawakilisha vyema.

"Mimi ni rais wa kweli wa kitaa. Wananchi wanatambua mimi ndio mwakilishi wao, msemaji wao na wanakubali. Unaweza ukaimba sana, ukatoa Hits song lakini mwisho wa siku jukwaani wanakupokeaje".

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad