Paul Makonda Afunguliwa Mashtaka ya Kupora Range Rover



Kesi hiyo ya Madai imefunguliwa na Mfanyabiashara Patrick Christopher Kamwelwe katika Mahakama ya Kisutu dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam na William Malecela (Le Mutuz)

Kwa mujibu wa Wakili Kung'e Wabeya anayemwakilisha Mfanyabiashara huyo amesema mteja wake kupitia kesi namba 234 ya mwaka 2022 anataka alipwe fidia ya Tsh. Milioni 240 za kodi ya thamani ya Gari hilo

Kesi hiyo itasomwa kwa mara kwanza Oktoba 13, 2022 ambapo wadaiwa wamepewa taarifa ya kuwasilisha utetezi wao wa maandishi ndani ya Siku 21, kinyume na hapo Mahakama itatoa hukumu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad