Polisi "Uchunguzi Unaonesha MKE wa Masanja Alimkataa Kimapenzi Aliyejiua"



Uchunguzi wa awali unaonesha Marehemu Joas Steven, aliyekuwa Katibu wa Kanisa la 'Feel Free Church' linaloongozwa na Emmanuel Mgaya (Masanja) alipata mfadhaiko na kujiua kwa kujinyonga


Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum Dar es Salaam, Muliro Jumanne, amesema “Marehemu alikuwa akiomba Uhusiano wa Kimapenzi. Pia, siku moja kabla ya tukio Mke wa Masanja akiwa na Mwanamke mwingine walikwenda Nyumbani kwa marehemu kumueleza kuwa hataki meseji za aina hiyo na hataki uhusiano.”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad