Polisi Waanzisha Uchunguzi Dhidi ya Mrembo Aliyeanika Makalio Uwanjani




Mwanamitindo mmoja nchini Italia anachunguzwa kwa kuonyesha makalio yake wakati wa michezo
Mwanamitindo huyo anasemekana kuwa shabiki wa Serie B na hushiriki michezo yao yote katika uwanja wa San Nicola
Haijulikani ni mashtaka gani anayoweza kushtakiwa nayo, lakini kuanika uchi hadharani ni marufuku katika mataifa kadhaa ulimwenguni
Polisi nchini Italia wanaripotiwa kuanzisha uchunguzi dhidi ya mwanamitindo aliyeonyesha makalio yake wakati wa michezo uwanjani.

Coyotee Cuttee ambaye ni mtayarishaji wa maudhui ya watu wazima.
Coyotee Cuttee ambaye ni mtayarishaji wa maudhui ya watu wazima. Picha: Coyotee Cuttee.
Coyotee Cuttee ambaye ni mtayarishaji wa maudhui ya watu wazima, huendesha akaunti kwa jina Only Fans, anasemekana kuwa shabiki mkubwa wa mechi za Serie B, ambapo aliishia kuanikia mashabiki makalio yake uwanjani.

Only Fans ni mtandao ambao hutumika kwa maudhui ya watu wazima pekee na hutumika hususan kwa wafanyakazi wa kuzalisha video za ngono.

The Sun linaripoti kuwa Coyotee Cuttee ni shabiki sugu wa klabu ya Serie B, Bari.


David Murahe Asafiri Dubai Kujivinjari Pamoja na Familia
Ukurasa wake wa Instagram, ambao ni wa faragha, una picha zake akiwa kwenye uwanja wa San Nicola, huku makalio yake yakionekana.

The Sun linaongeza zaidi kwamba hukana kuwa sio mtayarishaji wa maudhui ya filamu za watu wazima.

Haijulikani ni mashtaka gani anayoweza kushtakiwa nayo, lakini kuanika uchi hadharani ni marufuku katika mataifa kadhaa ulimwenguni na iwapo mrembo huyo mwenye umri wa miaka 22, atapatikana na hatia atafungwa jela ama kupigwa faini.


Vera Sidika
Kwingineko humu nchini, sosholaiti Vera Sidika anazidi kuzua mdahalo kwenye mitandao tangu achapishe picha akidai alifanyiwa upasuaji wa kupunguza makalio yake.

Wanamtandao walibaini kwamba alikuwa akijaribu kujitafutia kiki za wimbo wake alioachilia siku chache baadaye.

Ni jambo ambalo limefanya akashifiwe vikali akikosolewa kwa kutafuta umaarufu na suala linalohusu afya yake.

Hata hivyo, aliamua kuwalipukia wanaomkosoa akisema walikuwa wakiungana na wale ambao walikuwa wamemcheka kwa kupata 'Flat screen'.


Justina Syokau Afichua Hajagawa Asali kwa Takriban Miaka 9: "Niliamua Kuweka Nyege Chini"
Baadhi walimpongeza kwa kuchagua afya dhidi ya urembo, huku wengine wakiwatahadharisha wasichana wanaoendelea kujaribu kupandikizwa makalio.

Chanzo: TUKO.co.ke

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad