Privadinyo "Tunamnyima Diarra haki yake kwa sababu tunataka kuridhisha hisia zetu"


Diarra amefanya kazi yake kwa ufasaha kwenye mchezo ambao tulimiliki mpira kwa 61%, kona 13 (6+) dhidi ya timu iliyokaa nyuma ya mpira. Nilitegemea Diarra apewe heshima yake ila wamechagua kudhihaki. Tunamnyima Diarra haki yake kwa sababu tunataka kuridhisha hisia zetu.

Unfair
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad