Steve Nyerere Awachana Mastaa Wenzake KISA Pesa na Umaarufu


Akiongea na waandishi wa habari mapema leo mkurugenzi wa taasisi ya Mama Ongea na mwanao Steve Nyerere amewasema wasanii na watu maarufu wanaojisahau kwa kutrend ,kujipost wakichezea pesa na kushindwa kusaidia watu katika jamii yao kama fadhila .


Steve Nyerere ameyaongea Haya leo wakati akizindua kampeni mpya ya #MamaMvisheViatu2022 ambayo imezinduliwa rasmi kwa ajili ya kusaidia watoto wa shule kwenye mahitaji ya viatu na nguo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad