Supastaa Davido Aingia Kanisani Baada ya Kuasi Kwa Miaka Mitatu


Supastaa Davido ameweka wazi kwamba jana Jumapili alifanikiwa kuingia Kanisani na kutekeleza Ibada ikiwa ni miaka mitatu kutokufanya hivyo.

Davido ameeleza hilo kupitia insta story yake ambapo anatajwa huko Kanisani aliambatana na mpenzi wake Chioma. "Kwa mara ya kwanza Kanisani ndani ya miaka 3, Mungu ni mwema" - Ameandika Davido ambaye kwa sasa amerudiana na baby mama wake Chioma maarufu Chef Chi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad