TUNDA MAN 'SASA HIVI SIMBA TUKIFUNGWA NA YANGA SIIMBI TENA"


Haya Hapa Maneno Ya Shabiki Mkubwa Wa @simbasctanzania @tundamantz Kuelekea mchezo wa Kariakoo Derby ...........

"Kwa Mchezaji Mmoja Mmoja Sisi Tunawachezaji Wazuri Kwahiyo Point Kubwa Ilikuwa Ni Kocha Kila Kocha Anayekuja Anakuwa Na Mfumo Wake Ndio Kupata Team Work Inakuwa Ngumu Lakini Amekuja #MGUNDA Amefanya Vizuri Mechi Mbili Hizo Hivyo Kuhusu Suala La Timu Nina Timu Nzuri Na Bora Na Inapambana, Sasa Hivi Nikifungwa Tena Na Mtani Siimbi Tena Nyimbo Za Simba''

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad