✍🏻Hamisa Mobetto Ni Moja Kati ya Mabinti Warembo Sana Hapa Nchini Lakini Aliishia Kuwa Mchepuko wa Diamond Kwa Zaidi ya Miaka Mi2 Wakati Diamond Akiwa na Zari Mwishowe Akaishia Kuzalishwa Lakini Sio Kuolewa.
✍🏻Hivyo hivyo Hamisa Alishadate na Majizzo Mpaka Kuzaa nae Mtoto Lakini Mwisho wa Siku Akaolewa Lulu Wakati Hamisa Ni Binti Mrembo Sana Pengine Kuliko hata Lulu
✍🏻Mwijaku Wakati Akiwa Kwenye Press Conference Jana Alisema Hamisa hana hata kovu Lakini cha ajabu Pamoja na Uzuri wake wote ni kwanini haolewi Anaishia Kuzalishwa tu?
✍🏻Unazani Bi dada Hamisa Pamoja na Mastaa wetu wa Kike wengine Wanakosea Wapi?