Vera Sidika Ameudanganya Umma, Hakuna Cha Kuondoa Makalio Bandia Wala Nini......


Siku tatu zilizopita Socialite Kutoka nchini Kenya @queenveebosset aliuambia Umma kuwa yeye alifanya Upasuaji wa kutengeneza mwili wake kitu ambacho baadae kimekuja kumgharimu na kupata matatizo makubwa Hata hivyo Vera Sidika, Alishare na Mashabiki zake Picha ambayo inamuonesha muonekano wake wa sasa huku picha hiyo Ambayo ilimuonesha Mrembo huyo akiwa amepoteza Shape yake kabisa na kuwataka Wanawake wengine ambao wana Mpango wa Kuongeza Shapu zao waachane kabisa na Mawazo hayo.


Kumbe Mrembo huyo alitumia nafasi hiyo kama sehemu ya Kufanya Promotion ya Ngoma yake Mpya ambayo ameiachia siku ya leo inayoitwa 'Popstar' yani kwa Lugha rahisi Tunaweza kusema Vera Sidika alikuwa anatafuta Kiki tu kupitia njia hiyo Shape yake bado iko pale pale..😂


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad