Wema Sepetu "Nikimkosa Whozu Katika Maisha Yangu Nitaumia Sana"


Wema Isaac Sepetu au Last Born wa Taifa; ni supastaa wa Bongo Movies ambaye anakiri kuzama kwenye dimbwi la mahaba na msanii Whozu kiasi kwamba akimkosa ataumia mno.

Akizungumza na Gazeti la IJUMAA, Wema anasema kuwa, Whozu anachopaswa kujua ni kwamba amempa furaha aliyoikosa kwa muda mrefu hivyo anamuombea kwa Mungu ampe Baraka tele.

“Nataka tu Whzou ajue anamaanisha ulimwengu kwangu. Na nitaendelea kumuombea kwa Mungu kila siku ya maisha yangu. Baraka zote zije kwake kwa sababu anastahili kila jema katika maisha yake,” anasema Wema na kuongeza;

“Whozu amenifanya msichana nijihisi nimebarikiwwa kwa mara nyingine maishani. Kupendwa raha sana.”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad