Zari Hassan Achafua Hali ya Hewa Mitandaoni...Unaambiwa Penzi ni Zito


Picha zinasambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii, zikimuonesha Zari The Boss, mzazi mwenza wa Diamond Platnumz akila bata na mpenzi wake wa sasa.


Picha hizo zimesambaa zikiwa ni siku chache tangu Zari na Diamond waonekane pamoja Sauzi wakiwa na watoto wao, wote wakionesha kuwa na furaha.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad